NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 May 16, 2011 #1 Hivi nauli za za kutoka Arusha kwenda Samunge kwa Elicopter zimepangwa na nani? Nauli za safari zote nchini nadhani zinapangwa na mamlaka husika. Sasa hivi vindege vya kutoka nchi jirani nani kavipangia hiyo bei?
Hivi nauli za za kutoka Arusha kwenda Samunge kwa Elicopter zimepangwa na nani? Nauli za safari zote nchini nadhani zinapangwa na mamlaka husika. Sasa hivi vindege vya kutoka nchi jirani nani kavipangia hiyo bei?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 May 16, 2011 #2 naul ni ths 1 000 000/= RICH Tzns
Mazingira JF-Expert Member Joined May 31, 2009 Posts 1,833 Reaction score 301 May 16, 2011 #3 NATA said: Hivi nauli za za kutoka Arusha kwenda Samunge kwa Elicopter zimepangwa na nani? Nauli za safari zote nchini nadhani zinapangwa na mamlaka husika. Sasa hivi vindege vya kutoka nchi jirani nani kavipangia hiyo bei? Click to expand... Nijuavyo mimi hakuna mamlaka inayopnga nauli za ndege. Ila ushindani ndo hu-determine nauli. Si unakumbuka PW walikuwa wanalipisha karibu laki nne kwa safari ya DAR-MZA -DAR wakati sasa baada ya ujio wa Fly540 wameshuka hadi laki na kitu.
NATA said: Hivi nauli za za kutoka Arusha kwenda Samunge kwa Elicopter zimepangwa na nani? Nauli za safari zote nchini nadhani zinapangwa na mamlaka husika. Sasa hivi vindege vya kutoka nchi jirani nani kavipangia hiyo bei? Click to expand... Nijuavyo mimi hakuna mamlaka inayopnga nauli za ndege. Ila ushindani ndo hu-determine nauli. Si unakumbuka PW walikuwa wanalipisha karibu laki nne kwa safari ya DAR-MZA -DAR wakati sasa baada ya ujio wa Fly540 wameshuka hadi laki na kitu.