Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

zincobinyo

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
23
Reaction score
20
Habari wakuu,

Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri).

Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi wanapatikana pia tuwasiliane.

Niko Dodoma mjini.

Tuwasiliane 0759724391.
 
Kama upo Dodoma Singida mbona karibu hapo kuhusu kuku wa kienyeji?

Well demand yako ipoje kwenye kuku wa kienyeji na offer yako bei gani?

Hebu weka wazi hapa wadau waone kama kuna fursa au veepe.
 
Kama upo Dodoma Singida mbona karibu hapo kuhusu kuku wa kienyeji?

Well demand yako ipoje kwenye kuku wa kienyeji na offer yako bei gani?

Hebu weka wazi hapa wadau waone kama kuna fursa au veep
ok ahsante,
singida pia hua nafata mzigo,demand ni kubwa hata ukiweza kupata kuku wa kienyeji mia tano nina uwezo wa kuchukua,bei yangu ni 12000 kama nawafata na 13000 kama utanileta. Kama ni mdau wa hizi biashara utanielewa.

Lengo la kutaka connection zaidi ni kutokana na demand kua kubwa,hadi vyanzo vyangu vichache ninavyovitegemea vimeanza kuelemewa.

Kwa mengi zaidi ya kibiashara na kupeana fursa tuwasiliane kwenye hiyo namba thread ya kwanza.
 
Kwenye nikupe connection ya machotara, kuna mdau yupo hapo Dodoma ana shamba kubwa la kuku.
 
Bado unahitaji kuku?? Broiler unanunua kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom