zincobinyo
Member
- Mar 21, 2015
- 23
- 20
ok ahsante,Kama upo Dodoma Singida mbona karibu hapo kuhusu kuku wa kienyeji?
Well demand yako ipoje kwenye kuku wa kienyeji na offer yako bei gani?
Hebu weka wazi hapa wadau waone kama kuna fursa au veep
Kwenye nikupe connection ya machotara, kuna mdau yupo hapo Dodoma ana shamba kubwa la kuku.ok ahsante,
singida pia hua nafata mzigo,demand ni kubwa hata ukiweza kupata kuku wa kienyeji mia tano nina uwezo wa kuchukua,bei yangu ni 12000 kama nawafata na 13000 kama utanileta. Kama ni mdau wa hizi biashara utanielewa.
Lengo la kutaka connection zaidi ni kutokana na demand kua kubwa,hadi vyanzo vyangu vichache ninavyovitegemea vimeanza kuelemewa.
Kwa mengi zaidi ya kibiashara na kupeana fursa tuwasiliane kwenye hiyo namba thread ya kwanza.
Utakua umenisaidia sana mkuu na 10% itakuepo,hizi mb unazotumia zitarudi. Naomba tuwasiliane.Kwenye nikupe connection ya machotara, kuna mdau yupo hapo Dodoma ana shamba kubwa la