Wafuasi wa CCM ni wezi na wauaji..yaani ukiingia kwenye 18 zaangu zwazwa kame wewe huchomoki.Yuko wapi Ben Saa NANE?Una ona Sasa nyie wafuasi wa chadema mnashida👇🏿
Ahaaa, akatumia nembo ya mbogamboga 🤣😅Yule alikuwa mwanachama wa chadema
Badala ya kuwahoji wanauza rasilimali za Tanganyika unakimbilia kuwahoji wasiokuwa na serekaliTunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Na Mimi najiuliza.Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

Unaongea uongo huku ukijua ni uongo ili umfurahishe nafasi yako.Hakuna wizi wa kura nchini.
Sema tu hayo matukio hapo juu yanafanya chadema kionekane ni chama Cha waharifu
Nikusaidie padogo tu Maria sio mwanachama wa chama chochoteTunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Hujaelewa namaanisha nn Soma Tena uzi wanguNikusaidie padogo tu Maria sio mwanachama wa chama chochote
Hawatukani anawaambia ukweli watawala. Ni haki yake kikatiba.
Wakosoaji ndio wanaleta picha mbaya kwa jamii ?! Unajisikiliza kweli
Wanayofanya watawala huoni ni kama wanawaikosea jamii ya WaTz ambao ndio walipa kodi.
Hivi ni nani aliwaloga ninyi watu wa mfano huu..?
Huu umaskini wa Mwananchi na utajiri wa watawala hamuoni?
Tuliwakosea wapi ninyi viumbe?
Wajibu hzo hojaNa Mimi najiuliza.
1. Kwanini mnawakumbatia wanacjama walevi Kama Bumunda ambao hawana akili hata fomfoo hawakufaulu?
2. Kwanini wanacjama wenu wakuu wa mikoa no sawa na TAkA ngumu kwa kupenda tigo mfano yule aliyekua mkuu wa jimbo
Mmehoji majizi yaliyoko chaman?? Hao kama wanamakosa wapelekwemahakani, kama hawako mahakan basi wapo sahihiTunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Kwakawaida kwenye siasa wanatakiwa watu wenye ngozi ngumu wewe unaangalia upande mmoja tu lakini huko kwenu ndiyo kuna vijana wanamaneno mabovu na matusi kwa viongozi wa CDM kuliko yoyote. Ila matusi yao hayatiliwi maanani. Ukishakuwa mwanasiasa tegemea kuambiwa lolote nakumbuka kipindi Lowasa anagombea urais walimchora kama mwanamke na wala hakuna aliye fanywa kitu, Mbowe walikuwa wanamuita gaidi wala CDM hawaku react. Kwahiyo vimipasha kwenye siasa ndiyo Raha yenyewe ya siasa kama hutaki kusemwa jifungie kwako na wanao achana na siasa. Lakini ukitokea tu huku unalo.Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.