Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kocha yupo safi. Wewe umeonaje kwani!Kimsingi Kocha wa Timu ya Taifa ya nchi yoyote ni MTUMISHI WA UMMA , anatumikia timu ya taifa , hivyo ni lazima wananchi husika wamfahamu vizuri umahiri wake na uwezo wote kwa ujumla , ili waweze kutathmini hadhi yake kama anastahili kazi aliyopewa.
Sasa mwenye kufahamu mafanikio ya Salum Mayanga huko alikotoka , mpaka kufikia kupewa shavu la kufundisha Timu ya Taifa ya Tanzania atuwekee hapa .
Mengine yatafuata baadaye .
Timu yetu ya Taifa imetolewa na vibonde Rwanda .
Umesahau na kudanganya umri piaSimjui Mayanga....
siwezi kusema hafai au anafaa lakini kwa perfomance ya COSAFA
siwexi sema hafai...
kwa mara ya kwanza timu imepanda ranks karibu 20 au zaidi chini ya kocha mzawa
kwa mara ya kwanza tumewafunga South Africa
Tatizo la taifa stars ni zaidi ya kocha
liko deep
lishe mbovu
mentality mbovu
uongozi mbovu
na mengine....kocha huyu huyu angeifundisha Zambia angefanya makubwa zaidi
Hapana aseee.... Timu haina plan b... Yaani siku zote yeye ni kujilinda tu awe nyumba awe ugenini... Mkibanwa tu basi mpira umeishaSimjui Mayanga....
siwezi kusema hafai au anafaa lakini kwa perfomance ya COSAFA
siwexi sema hafai...
kwa mara ya kwanza timu imepanda ranks karibu 20 au zaidi chini ya kocha mzawa
kwa mara ya kwanza tumewafunga South Africa
Tatizo la taifa stars ni zaidi ya kocha
liko deep
lishe mbovu
mentality mbovu
uongozi mbovu
na mengine....kocha huyu huyu angeifundisha Zambia angefanya makubwa zaidi
Kumbuka kwamba COSAFA mataifa yote yamepeleka timu za Taifa za vijana/akiba. Je, Mayanga naye angepeleka timu kama hiyo bado angefanya vizuri?Simjui Mayanga....
siwezi kusema hafai au anafaa lakini kwa perfomance ya COSAFA
siwexi sema hafai...
kwa mara ya kwanza timu imepanda ranks karibu 20 au zaidi chini ya kocha mzawa
kwa mara ya kwanza tumewafunga South Africa
Tatizo la taifa stars ni zaidi ya kocha
liko deep
lishe mbovu
mentality mbovu
uongozi mbovu
na mengine....kocha huyu huyu angeifundisha Zambia angefanya makubwa zaidi
Sasa mnashiriki mashindano ili kumdanganya nani ?Michezaji ya TANZANIA haifundishiki, ,hata kama atakuja Gadiola kufundisha au Morinho
Naomba kujua maana ya mezani fcAnateua wachezaji kwa kigezo cha Mezani FC.
Asante sana mkuu kwa maelezo ya kushiba , Inasikitisha kuona kwamba Mayanga anapenda soka lakini SOKA HALIMPENDI .Mtoa mada aliulizia anaye mfaham Mayanga! Huyu jamaa amechezea Mtibwa tangu ikiwa daraja la tatu hadi ilipopanda daraja la kwanza miaka ya tisini! Na alikuwa nahodha wa mtibwa tangu timu ikiwa daraja la tatu mpaka alipostaafu soka miaka ya mwanzoni mwa 2000 alipomwachia unahodha Meck Mexime! Wakati timu ikiwa daraja la 3 alicheza kama kiungo mkabaji lakini baadae alicheza zaidi kama beki wa kati! Jamaa alikuwa anacheza sana mpira wa kibabe!
Salum Shabani Mayanga mzaliwa wa Morogoro mjini ndiye alikuwa nahodha wa Mtibwa wakati ikichukuwa ubingwa wa bara ' back to back' mwaka 1999/2000! Anaelimu ya kutosha ya ukocha kwani alipata mafunzo ndani ya Tanzania na nje ya nchi katika nchi kama Brazil na Ujerumani! Mwanzoni alikuwa kocha wa kikosi cha Pili cha Mtibwa na kisha kocha msaidizi na baadae akawa kocha mkuu!
Baada ya Meck kustaafu alikuwa msaidizi wa Mayanga lakin walishindwa kufanya kazi pamoja kutokana na Meck kujiona anajua kuliko bosi wake! Ikabidi Mayanga aondoke na Meck akawa kocha mkuu! Mbali ya Mtibwa Mayanga aliwahi kufundisha Kagera sugar na Tanzania Prisons ya Mbeya! Na pia ndiye alikuwa kocha wa ile timu iliyoitwa taifa stars maboresho! Licha ya kwamba Mayanga amecheza na kusomea mpira ktk kiwango cha juu bado sio kocha mzuri hata kwa kumlinganisha na Meck Mexime! Ni bora atimuliwe arudi Mtibwa ambako mpaka sasa bado ni mwajiriwa wa kiwanda hicho kama Afisa ustawi wa jamii! Kimsingi Mayanga ni mtu wa mpira haswaa sijui tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ujue pia watanzania tunapenda soka. Bali soka haliyupendi. Sisi kama EnglandAsante sana mkuu kwa maelezo ya kushiba , Inasikitisha kuona kwamba Mayanga anapenda soka lakini SOKA HALIMPENDI .
Hapo kwa Meck mexime.. Kujifanya anajua kuliko Mayanga hakika anajua kuliko Mayanga maana alipoachiwa Mtibwa imefanya vizuri kuliko ilipokuwa chini ya Mayanga... Kaenda kagera kafanya vizuri zaidi kuliko Mayanga na prisons yake....Mtoa mada aliulizia anaye mfaham Mayanga! Huyu jamaa amechezea Mtibwa tangu ikiwa daraja la tatu hadi ilipopanda daraja la kwanza miaka ya tisini! Na alikuwa nahodha wa mtibwa tangu timu ikiwa daraja la tatu mpaka alipostaafu soka miaka ya mwanzoni mwa 2000 alipomwachia unahodha Meck Mexime! Wakati timu ikiwa daraja la 3 alicheza kama kiungo mkabaji lakini baadae alicheza zaidi kama beki wa kati! Jamaa alikuwa anacheza sana mpira wa kibabe!