Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na madini yangu pindi ninapo taka kuasafirisha nje

Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na madini yangu pindi ninapo taka kuasafirisha nje

Chilemba wamela pamputi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
468
Reaction score
486
Habarizeni wakuu, nawasalimu kwajina la yesu kwa wale wakristu na waiislam kwa jina la allah.

Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na madini yangu pindi ninapo taka kuasafirisha nje.
Naomba nipate mchanganuo mzuri kwa wale wajuzi wa biashara hii au wale wenye uelewa wa kitalamu wa kitalamu tadadhali.

Ntanguliza shukrani zangu nyingi.

sent by galax s9
 
Habarizeni wakuu, nawasalimu kwajina la yesu kwa wale wakristu na waiislam kwa jina la allah.

Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na dini yangu pindi ninapo taka kuasafirisha nje.
Naomba nipate mchanganuo mzuri kwa wale wajuzi wa biashara hii au wale wenye uelewa wa kitalamu wa kitalamu tadadhali.

Ntanguliza shukrani zangu nyingi.

sent by galax s9
Njoo in box kama unabiashara tuyajenge mdau wangu.
 
Back
Top Bottom