Habarizeni wakuu, nawasalimu kwajina la yesu kwa wale wakristu na waiislam kwa jina la allah.
Ninaomba kujuzwa hatua zote ninazo paswa kupitia pindi napo kuwa na dini yangu pindi ninapo taka kuasafirisha nje.
Naomba nipate mchanganuo mzuri kwa wale wajuzi wa biashara hii au wale wenye uelewa wa kitalamu wa kitalamu tadadhali.
Ntanguliza shukrani zangu nyingi.
sent by galax s9