Ninaomba kujuzwa kuhusiana na fao la uzazi la PSPF.
Nina mke wangu ni mtumishi alijifungua mwezi June 2018.
Hivyo alijaza fomu stahiki kwaajili ya kupata fao hilo la uzazi. Majibu aliyopewa ilikuwa baada ya miezi 3 atapewa pesa yake, lakini hadi leo bado kimya.
Je, baada ya mifuko kuunganishwa fao la uzazi kwa kina mama limeondolewa?