milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Aug 25, 2024 #1 Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Je, kuna mtu maalum wa kuwasiliana naye kabla ya kufika ofisi za Jf?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 10,392 Reaction score 15,948 Aug 25, 2024 #2 milele amina said: Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Click to expand... Moderator Kindly see this. Anyway JF ni watu wema sana. All the best
milele amina said: Ninaomba kupata itaraibu mzima, wa kutembelea Ofisi za Jf. Ni muda mrefu sana,Nina hamu kufika na kuzungumza nao,na kuwaeleza mambo mawili matatu. Click to expand... Moderator Kindly see this. Anyway JF ni watu wema sana. All the best
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,620 Reaction score 5,260 Aug 25, 2024 #3 Ukifika waambie Ritz na webabu na mkuu wao maralia 2 wanapost upotishaji Sana