Ninaomba mawasiliano ya hawa watu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
1.Nasreem(Miss TZ 2008)
2.Richa(Miss 2007)
Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
 
 
Alternatively atafute mtandao wa kamati ya Miss Tanzania kama wanao halafu hayo ya contacts za hao warembo utapata huko.

Mustakabali wa nchi yetu unazungumzia au mustakabali wa mashindano ya urembo?
 
1.Nasreem(Miss TZ 2008)
2.Richa(Miss 2007)
Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
Kama ni kwa ajili ya mambo yale pale sikushauri.......kuna mashori wakali achana na makombo ya Anko Lunde.
 
Nadhani orodha ilikuwa inaendelea including Miss TZ 2009 who could be anybody willing to jig jig with anybody in the Kamati ya Miss Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…