Ninaomba mnisaidie ideas ya biashara

Nilijua mtaji ni mil. 20 - 30! Nahisi nina matatizo ya macho. 😎

Anyway, biashara za mtaji huo ziko nyingi tu. Muhimu angalia fursa iliyokuzunguka halo ulipo. Hakika utatoboa kirabisi tu.
 
Mkuu inaonekana unafahamu machimbo mengi kkoo.. Unaweza kunisaidia machimbo ya nguo za ndani za kike kama tait, chupi na brah?
Na pia vichokleti, vipipi vitamuvitamu n.k vinapouzwa bei rahisi dozen?
 
Napatikani Dar.
Yes nafanua delivery kwa order maalum.
Hayo madeli prince ware Kariakoo moja 85,000.
Rafiki unatengeneza ice cream kiasi gani kwa siku? Unatumia watu kwa maana ya manual au machine? Soko lako likoje? Vipi nikitaka kuja kununua kwa jumla kwako?
 
Reactions: amu
Mkuu inaonekana unafahamu machimbo mengi kkoo.. Unaweza kunisaidia machimbo ya nguo za ndani za kike kama tait, chupi na brah?
Na pia vichokleti, vipipi vitamuvitamu n.k vinapouzwa bei rahisi dozen?
Hizi kwa jumla zinapatikana mtaa wa muhonda mtaa unaotazamana na kituo cha polisi msimbazi ulizia muhonda hapo kuna maduka mengi ya vitu unavyotaka vya jumla kutoka china na uturuki...

Sasa wote wanauza jumla ila wanatofautiana bei mana kuna wanaotoa mizigo ya chupi na sidiria direct toka china na uturuk bei zao ziko chin zaid na kuna wanaochukua mizigo kwa wanaotoa china na wao wanauza jumla vilevile...

Cha msingi ukifika huo mtaa fanya survey maduka yote had yaliyoko ndani ndan ulizia aina za chupi na bei zake kwa kila duka ..sidiria na night dress utajua tu nani yuko rahis kuliko mwingine
 
Asante sana, ubarikiwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…