Ninaomba msaada tafadhali

Ninaomba msaada tafadhali

dash m

Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
81
Reaction score
7
Mimi ni msicha wa miaka 26 .Nilienda hospita kwa kusumbuliwa na tumbo.

Nilipopimwa nikaambiwa nina endostrium na polycystic ovaries..nimetumia dawa lkn bado
Naomba msaada wenu tafadhali
 
Mimi ni msicha wa miaka 26 .Nilienda hospita kwa kusumbuliwa na tumbo.

Nilipopimwa nikaambiwa nina endostrium na polycystic ovaries..nimetumia dawa bado
Naomba msaada wa wana jf. Tumbo linanisumbu sanaaa chini ya kitovu


Natanguliza shkran
 
Back
Top Bottom