Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani

Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani

Mech

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
131
Reaction score
321
Habari ndugu,

Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani . Nimefuatilia kwenye website yao, lakini maelezo yao hayajitoshelezi.

Hivyo yeyote mwenye ufahamu au mwenye ndugu/rafiki/jamaa ambaye yupo Ubalozi wa Marekani ninaomba connection yake, nina amini anaweza kuwa daraja kwenye hili.

Napatikana Whatsap namba: 0747 642 122

Asanteni sana na Mungu aendelee kuwabariki.
 
Back
Top Bottom