Ninaomba msaada wa kupata chuo

Ninaomba msaada wa kupata chuo

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
694
Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta chuo naombeni msaada jamani .
 
Kama ni arts chukua cerificate ya law baada ya hapo utasoma diploma, ll,b,ll,m
 
Mupeleke kwa mgosi akajifunze cherehani!!
four ya 27 tena ya 2007 mgosi atamupokea.
 
Mtafutie chuo cha ualimu au afya 0765885505/0752476164 hizo ni namba za wamiliki wa chuo kimoja kiko sumbawanga mjini kun chuo cha matabibu na cha ualimu watakupatia maelekezo
 
Back
Top Bottom