Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta chuo naombeni msaada jamani .
Mtafutie chuo cha ualimu au afya 0765885505/0752476164 hizo ni namba za wamiliki wa chuo kimoja kiko sumbawanga mjini kun chuo cha matabibu na cha ualimu watakupatia maelekezo