Ninaomba msaada wa link - ninahitaji soft copies za vitabu vya fasihi ya afrika

Arnold Ndosi

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
65
Reaction score
3
Kaka na dada zangu wa jukwaa hili, nianze kwa kuwasalimu: za wakati huu?



:A S-key: Ninaomba msaada wa link ambayo ninaweza nikavishusha/download vitabu vya fasihi ya Afrika. Nimetafuta sana soft copies za vitabu hivyo nimekosa kabisa. Pia nimejaribu kuvitafuta kwenye mtandao likini bado jitiada hizo limegonga mwamba!

Hata hivyo kwa sasa ninahitaji sana soft copies za vitabu vifuatavyo:

-Betrayal in the City,kilichoandikwa na hayati Dakt. Francis Imbuga wa Kenya Mwaka 1976.
-His Excellency, the Head of State, Kilichoandikwa na Danny B. Safo wa Afrika ya Magharibi
[h=3]- Kusadikika, kilichoandikwa na hayati Shaaban Robert wa Tanzania. [/h]
Hata hivyo nitashukuru sana kama utanisaidia soft copies za vitabu hivyo kama unazo.😛oa
 
Tembelea JF Store. Kuna uzi mods wameubandika (sticky thread), kuna member anajiita LIBRARY atakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…