Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 306 Reaction score 699 Feb 13, 2025 #1 Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 13, 2025 #2 Ngoja waje wadau