Ninaomba mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu

Ninaomba mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.

Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?

Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza.

Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu kinachohusu mkataba wa KIA Jf

Uzi huu,ninaomba usifutwe,mtakuja kunikumbuka.
 
Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli ,June 2016

Wakuu wa wilaya waliotemwa....
WALIOACHWA
Wakuu wa Wilaya walioachwa na vituo vyao kwenye mabano ni

1. Halima Kihemba (Kibaha)
2. Betty Mkwasa (Mvomero)
3. Muhingo Rweyemamu (Morogoro)
4. Matthew Sedoyeka (Sumbawanga)
5. Jacqueline Liana (Nzega)
6. Benson Mpesya (Songea)
7. Suleiman Kumchaya (Tabora)
8. Amani Mwenegoha (Bukombe).
9. Fatma Ally (Mtwara)
10. Jackson Msome (Bukoba)

11. Ramadhani Maneno (Chemba)
12. Hafsa Mtasiwa (Korogwe)
13. Pilly Moshi (Magu)
14. Paul Mzindakaya (Busega)
15. Shabani Kissu (Kondoa)
16. Baraka Konisaga (Nyamagana)
17. Francis Mwonga (Bahi)
18. Gerald Guninita (Kasulu)
19. Omar Kwaangw’ (Karatu)
20. Novatus Makunga (Moshi)

21. Farida Mgomi (Chamwino)
22 Ponsiano Nyami (Bariadi)
23. Lephy Gembe (Kilombero)
24. Dk. Jacqueline Tiisekwa (Dodoma)
25. Bituni Msangi (Kongwa)
26. Margaret Malenga (Nyasa)
27. Sheni Ngaga (Mbinga)
28. Chande Nalicho (Namtumbo)
29. Agnes Hokororo (Tunduru)
30. Hawa Ng’humbi (Kishapu)

31. Wilson Nkhambaku (Arumeru)
32. Ernest Kahindi (Longido)
33. Francis Mitti (Monduli)
34. Zainab Mlesi (Rungwe)
35. Nyirembe Munasa (Mbeya)
36. Ahmed Namhone (Mbozi)
37. Ziporah Pangani (Igunga)
38. Estherina Kilasi (Muheza)
39. Jowika Kasunga (Mufindi)
40. Khanifa Karamagi (Gairo)

41. Subira Mgalu (Kisarawe)
42. Nurdin Babu (Rufiji)
43. Crispin Meela (Babati)
44. Abdallah Kihato (Mkuranga)
45. Joshua Mirumbe (Bunda)
46. Ali Mohamed (Serengeti)
47. Lembris Kipuyo (Rombo)
48. Manju Msambya (Ilemela)
49. Saidi Amanzi (Singida)
50. Lucy Mayenga (Iramba)

51. Kanali Samuel Nzoka (Kiteto)
52. Mahmood Kambona (Simanjiro)
53. Dk. Michael Kadeghe (Mbulu)
54. Yahya Nawanda (Lindi)
55. Charles Gichuri (Ikungi)
56. Christopher Magela (Newala)
57. Bernard Ndutta (Masasi)
58. Zuhura Mustapha Ally (Uyui)
59. Khanifa Sirengu (Sikonge)
60. Daudi Yassin (Makete)

61. John Henjewele (Kilosa)
62. Mariam Juma (Lushoto)
63. Husna Msangi (Handeni)
64. Peter Toima (Kakonko)
65. Saveli Maketa (Kigoma)
66. Rosemary Kirigini (Maswa)
67. Georgina Bundala (Itilima)
68. Erasto Sima (Meatu)
69. Amina Lugaila (Mbogwe)
70. Ibrahim Marwa (Nyang’wale)

71. Abdulla Lutavi (Tanga)
72. Ephraim Mmbaga (Liwale)
73. Mariam Mtima (Ruangwa)
74. Mariam Mohammed (Lushoto)
75. Selemani Liwowa (Kilindi)
76 Mboni Mgaza (Kilindi)
 
Someni namba 42, alikuwa Rufiji , na mjiulize Leo mbunge wa Rufiji ni Nina ana ameoa wapi.
 
Back
Top Bottom