Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

hivyo vifaa umenunua dukani au
 
Pole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
 
Kuwa karibu na doctor yoyote atakusaidia ungekuwa Moro ningeongea na sister ila kujua Afya yako ni vzr zaidi,
Mm nimepimaa nilienda clinic wakati wa ujauzito wa demu wangu mwezi wa kwanza ila huyu ni mchepuko nikataka kupga peku
 
Pole kijana,lkn usipate tatizo sana kichwani. Kipimo cha kwanza ulichotumia kina kawaida ya kubadilisha majibu hasa zinapopita dk 20 na kuendelea (kinaitwa Bio Line). Ili kuondoa shaka yoyote, huwa inashauriwa kutumia hicho kipimo ambacho Daktari wako amekitumia, kinaitwa Uni Gold. Hasa kunapotokea utata. Kwa kawaida kina matokea ya 99% kwa usahihi.
Kama kinaonyesha Negative, jiamini, upo salama.
 
Thank youuuu
 
 
Determine haitumiki ckuiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…