Ninaomba nifahamishwe kuhusu kozi zenye "loan priority"pale NIT

Ninaomba nifahamishwe kuhusu kozi zenye "loan priority"pale NIT

H.M.MUYANGO

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
110
Reaction score
9
Kama mnavyojua jamaani mwezi huu ni mishemishe za kuomba nafac kusoma elimu ya juu pamoja na mkopo!naombeni mnijuze kozi zenye "loan priority" pale NIT!
 
kwanza unataka kusomea nn kwani kuna course kama BLTM, BAE, BME, Ni priority ila BPLM , BHRM BBA BICT
sio priority but unaweza pata mkopo kama mdogo angu yupo BPLM na amepewa 98% mkopo
 
kwanza unataka kusomea nn kwani kuna course kama BLTM, BAE, BME, Ni priority ila BPLM , BHRM BBA BICT
sio priority but unaweza pata mkopo kama mdogo angu yupo BPLM na amepewa 98% mkopo

Hiyo BPLM ndio nini mkuu
 
Mkuu ukitaka uwe na uhakika hebu download hii Guide book ya TCU hii ina kila kitu ingia HAPA
 
Back
Top Bottom