Kama mnavyojua jamaani mwezi huu ni mishemishe za kuomba nafac kusoma elimu ya juu pamoja na mkopo!naombeni mnijuze kozi zenye "loan priority" pale NIT!
kwanza unataka kusomea nn kwani kuna course kama BLTM, BAE, BME, Ni priority ila BPLM , BHRM BBA BICT
sio priority but unaweza pata mkopo kama mdogo angu yupo BPLM na amepewa 98% mkopo