Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu au stadi au taratibu njema ambazo zitaleta matokeo mazuri katika kuwasiliana.Wanajopo habari ya Jumapili,
Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi.
Shukrani
Pamoja karibuAsante sana.