Kiboko/Kitimoto je?Kuna hizi taasisi za mifugo zinaitwa LITI kama sikosei Ndio hufanya uboreshaji wa mbegu. Tuliwahi kufuga mnyama wa namna hiyo lakini nadhani kuna utaratibu wa kitaalamu zaidi. Ila mbegu chotara nyati/ng'ombe ipo, na wanamatokeo mazuri kwenye ng'ombe wa nyama.
LITI MPWAPWA ndio waliosimamia hiyo project
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli hao jamaa wa LITI wanajishugulisha na uboreshaji wa mbegu bora za wanyama.Kuna hizi taasisi za mifugo zinaitwa LITI kama sikosei Ndio hufanya uboreshaji wa mbegu. Tuliwahi kufuga mnyama wa namna hiyo lakini nadhani kuna utaratibu wa kitaalamu zaidi. Ila mbegu chotara nyati/ng'ombe ipo, na wanamatokeo mazuri kwenye ng'ombe wa nyama.
LITI MPWAPWA ndio waliosimamia hiyo project
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kufuga kiboko ? Kuna utaratibu wa kufungua mashamba ya wanyamapori. Ila kubreed kiboko sijawahi Sikia.Kiboko/Kitimoto je?
Kuna hizi taasisi za mifugo zinaitwa LITI kama sikosei Ndio hufanya uboreshaji wa mbegu. Tuliwahi kufuga mnyama wa namna hiyo lakini nadhani kuna utaratibu wa kitaalamu zaidi. Ila mbegu chotara nyati/ng'ombe ipo, na wanamatokeo mazuri kwenye ng'ombe wa nyama.
LITI MPWAPWA ndio waliosimamia hiyo project
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana species hizi zina uhusiano wa karibu sana. Na watoto wao wanaweza kuzaa piaLoo, hivi inawezekana Nyati, Cape Buffalo akazaa na ng'ombe ???
Inawezekana species hizi zina uhusiano wa karibu sana. Na watoto wao wanaweza kuzaa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna namna mbili.Ukisema species hizi ziko karibu mno maana yake hawawezi kuzaa, ni lazima wawe exactly the same specie ndipo watazaa. Mfano Liger ni cross breed ya Lion na Tigress, they are the same specie.
2. Two closely related species can INTERBREED and produce a fertile offspring. Mfano African cape buffalo + domesticated cattle.
Hii study familia yangu ilishiriki, yaani ng'ombe wetu alipandikizwa mbegu za mbogo na alizaliwa mbogo Dume mkubwa sana chotara safi. Alikua mkorofi kidogo lakini watoto wake huyu ( chotara × ng'ombe wa kawaida ) walikua wapole zaidi.
Na hawa chotara wapo mpaka Leo mbegu ilisambaaa sana maeneo yetu pale.
Nilisema inabidi tufuatilie kuna gaps nyingi. Ila hao ng'ombe chotara wa mbogo wapo, sijahadisiwa nimeshiriki kuwatunza na nyama Yao nilikula.Yaani wewe umenifanya hadi nimemuuliza profesa wa SUA kuhusu Domestic cattle kuzaa na cape buffalo; ambapo amesema HAIWEZEKANI KABISA, amesema chromosomes pair hazifanani na hata Genus ni tofauti, amesema Genus ya ng'ombe ni Bos na ile ya nyati (cape buffalo) ni syncerus.
Huyo niliyemuuliza ni profesa wa animal science kutoka SUA, nimeongea naye kwa simu 10 minutes ago.
Nilisema inabidi tufuatilie kuna gaps nyingi. Ila hao ng'ombe chotara wa mbogo wapo, sijahadisiwa nimeshiriki kuwatunza na nyama Yao nilikula.
Nahisi matokeo ya tafiti hizi hayawekwi public au donors wanaondoka nayo sijajua.
Sent using Jamii Forums mobile app