amamus JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 370 Reaction score 236 Nov 6, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi na poleni kwa majukumu. Ninaomba Uzoefu wenu juu ya hii gari aina ya BMW 3 Series 318i ya mwaka 2003. Note: Model code_ GH-AY 20 Engine Capacity _ 2000cc Natanguliza shukrani zangu za dhati
Habari zenu wanajamvi na poleni kwa majukumu. Ninaomba Uzoefu wenu juu ya hii gari aina ya BMW 3 Series 318i ya mwaka 2003. Note: Model code_ GH-AY 20 Engine Capacity _ 2000cc Natanguliza shukrani zangu za dhati
fredymkanza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 284 Reaction score 152 Nov 6, 2016 #2 Ni gari nzuri tu ila spair zake hazipatikani kwa wingi bongo kama BMW 325i
amamus JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 370 Reaction score 236 Nov 6, 2016 Thread starter #3 fredymkanza said: Ni gari nzuri tu ila spair zake hazipatikani kwa wingi bongo kama BMW 325i Click to expand... Asante chief, vipi kuhusu fuel consumption pia?
fredymkanza said: Ni gari nzuri tu ila spair zake hazipatikani kwa wingi bongo kama BMW 325i Click to expand... Asante chief, vipi kuhusu fuel consumption pia?
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Nov 7, 2016 #4 fredymkanza said: Ni gari nzuri tu ila spair zake hazipatikani kwa wingi bongo kama BMW 325i Click to expand... Una maana gani? Spare za bmw 318I zipo nyingi sana.
fredymkanza said: Ni gari nzuri tu ila spair zake hazipatikani kwa wingi bongo kama BMW 325i Click to expand... Una maana gani? Spare za bmw 318I zipo nyingi sana.
amamus JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 370 Reaction score 236 Nov 7, 2016 Thread starter #5 RRONDO said: Una maana gani? Spare za bmw 318I zipo nyingi sana. Click to expand... Asante kiongozi
J johnmlay Senior Member Joined Mar 27, 2012 Posts 153 Reaction score 59 Dec 18, 2016 #6 amamus said: Asante kiongozi Click to expand... Je vipi kuhusu spare za mercedez benze c 230 sport edition zinapatikana bongo kiurahisi?
amamus said: Asante kiongozi Click to expand... Je vipi kuhusu spare za mercedez benze c 230 sport edition zinapatikana bongo kiurahisi?