Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 1,518
- 2,174
Kama nilivyowaambia awali, yule shemeji yenu Mkenya alienda nchi za Gulf kufanya kazi. Sasa imepita miezi miwili, na kila akipokea pesa huwa ananitumia Ksh 10,000 kila mwezi. Kwa haraka haraka, ni kama Tsh 200,000 za mama Kizimkazi.
Pesa anazonitumia ni za kujikimu tu, lakini mimi nina pikipiki na napiga kazi zangu, hivyo najimudu. Sasa nina malengo naye kweli, nataka nimuoe. Lakini nawaza, je, niwekeze hapa Kenya au nifanye mpango niwekeze Tanzania nyumbani? Mpaka sasa niko njia panda, sijui nifanye nini. Naomba ushauri wenu, wadau.