Ninaomba ushauri wako pia Boxer BM 150 inahitajika

Ninaomba ushauri wako pia Boxer BM 150 inahitajika

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Natumaini hamjambo,,

Ninahitaji Boxer BM 150 (used iliyo katika hali nzuri) kwaajili ya matumizi binafsi, hivyo ninaomba kujua jinsi yakutofautisha kati ya fake (mchina) na original (muhindi) pia mambo mengine muhimu yakuzingatia kama mtu ninaye nunua pikipiki iliyotumika.

Kwa ufahamu wangu ninahitaji pikipiki Boxer BM 150 yenye sifa zifuatazo;
- Iwe imetumika kwa muda usiozidi miezi 8
- Haijawahi fanya bodaboda
- Ina muonekano mzuri
- Haijawahi kufunguliwa engine wala kupata ajali.
- Iwe na vibali vyote

Natanguliza shukurani kwa ushauri utakaonipa, pia kwa atakaye kuwa tayari tufanye biashara, Karibu inbox.
 
Back
Top Bottom