Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?
1. Umegunduaje kwamba hana uzoefu?Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will it be simple if wote mkiwa hamna uzoefu kabisa?
ulipimaje kuwa hana uzoefu?
hakuna anayefundishwa mapenzi ndg, wala hakuna anayefundishwa tendo, ni utundu wenu na ubunifu.