- Thread starter
- #21
Asante , hata ikiwa kansa unafanyaje? Unayapokea. Nadhani nitanye barium swallow testYes ni dalili ya ulcers aliesema kansa ya koo anakutisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante , hata ikiwa kansa unafanyaje? Unayapokea. Nadhani nitanye barium swallow testYes ni dalili ya ulcers aliesema kansa ya koo anakutisha.
Hapana maana hiyo sio dalili ya kansa..... niliumwa sana kiungulia nikaja kupima nikakutwa na ulcers inayoanza....nikawa natumia rabeloc kidogo ilinisaidia kuzuia kiungulia.Asante , hata ikiwa kansa unafanyaje? Unayapokea. Nadhani nitanye barium swallow test
Asante nitajaribu hiyo tibaHapana maana hiyo sio dalili ya kansa..... niliumwa sana kiungulia nikaja kupima nikakutwa na ulcers inayoanza....nikawa natumia rabeloc kidogo ilinisaidia kuzuia kiungulia.
Kwaiyo ulipona kabisa vidonda vya tumbo..utueleze wangne sis wenye daliliHapana maana hiyo sio dalili ya kansa..... niliumwa sana kiungulia nikaja kupima nikakutwa na ulcers inayoanza....nikawa natumia rabeloc kidogo ilinisaidia kuzuia kiungulia.
Nikiwa shule ndiyo vinachanganya, nikija likizo vinaisha au kupungua sana. Je dalili hizi ni za kansa ?kafanye medical chek up kubwa ni dalili ya cancer ya koo mkuu nina ushahidi
Nitumie dawa gani jamani bado vinanisumbuaYes ni dalili ya ulcers aliesema kansa ya koo anakutisha.
Kunywa rabeloc kidonge kimoja asubuhi kabla ujala chochote..... Ni 1×1...halafu ulete mrejeshoNitumie dawa gani jamani bado vinanisumbua
Hiyo ilikua inanituliza kiungulia nakaa hata siku tatu hadi week siumwi.Kwaiyo ulipona kabisa vidonda vya tumbo..utueleze wangne sis wenye dalili
Maganda unayafanyaje mdadaHiyo ilikua inanituliza kiungulia nakaa hata siku tatu hadi week siumwi.
Nilipona kwa kutumia maganda ya nanasi na asali.
eleza vizuri basi naweweHiyo ilikua inanituliza kiungulia nakaa hata siku tatu hadi week siumwi.
Nilipona kwa kutumia maganda ya nanasi na asali.
Maganda unayafanyaje mdada
Unayaosha then unayachemsha, mimi nilikua naenda kwa wale wauza mananasi wananiuzia yale maganda yake....nayachemsha kama robo saa ......yakiwa ya uvugu vugu nachanganya na asali nakunywa.eleza vizuri basi nawewe
Asante ngoja kesho ninunue keshoKunywa rabeloc kidonge kimoja asubuhi kabla ujala chochote..... Ni 1×1...halafu ulete mrejesho
Shukranii ntaongezea na Imani hapoUnayaosha then unayachemsha, mimi nilikua naenda kwa wale wauza mananasi wananiuzia yale maganda yake....nayachemsha kama robo saa ......yakiwa ya uvugu vugu nachanganya na asali nakunywa.
Nishasahau hata nilitumia muda gani ila kama sio week 2 basi week 3.
Tena ulcers kama ndiyo zinaanza ni rahisi sana kupona.
Simara maganda na asali how do you treat themHiyo ilikua inanituliza kiungulia nakaa hata siku tatu hadi week siumwi.
Nilipona kwa kutumia maganda ya nanasi na asali.
Hayo maganda ya nanasi unachanganya namaji kisha unachemsha au? Yakisha chemka ndo unachuja hayo maji kisha umachaganya na asali? Asali kiasi gani?Unayaosha then unayachemsha, mimi nilikua naenda kwa wale wauza mananasi wananiuzia yale maganda yake....nayachemsha kama robo saa ......yakiwa ya uvugu vugu nachanganya na asali nakunywa.
Nishasahau hata nilitumia muda gani ila kama sio week 2 basi week 3.
Tena ulcers kama ndiyo zinaanza ni rahisi sana kupona.
Nimeelezea hapo juuSimara maganda na asali how do you treat them
Ameeleza angaliaMaganda unayafanyaje mdada