MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 352
wanaJF ninaomba 2saidiane unajua ninashndwa kuelewa wap 2napoelekea mana kila kukicha ninaona kiswahili ama lugha sijui niseme inakuwa ama kuharibika mana kila siku maneno mapya tena yenye maana(Utata) kibao na zisizo na maana yanatumika mfano tigo lilikuwa na ninavyojua ni jina la kampun ya simu lakn lina2mika vsivyo je huu ni uharibifu au ukuwaj wa lugha? Na pia kunadhana ya kufupisha lugha kila kukicha ninakutana na tabia hii na ninasikia hata kwny public radio au tv wanazi2mia mfano neno BWANA naona wanaita BANA na mengne meng je hv 2napoelekea huko kiswahil kitakuwa kinaitwaje au 2tatumiaje?