properties
Member
- Jun 3, 2016
- 59
- 57
Nipe dokezo tatizo ni nin?Ooooh......Hili tatizo......
Unaweza kuja clinic kwangu nikutibie.......?....
Dr Preta.......
Sasa mkuu ww ndo unamuua kwa wiki Mara mbiliHilo tatizo wengi tu wanalo,inaonekana unakamia sana game.Jaribu kupunguza mawazo ukiwa na duu wako,jaribu kutafuta wanaovuta hisia(angalau ameumbika na sura imo),punguza kujichua,weka ratiba angalau kwa wiki mara 2 itasaidia kukujenga kisaikolojia.
Pressure ya kupanda au kushuka?Una upungufu wa nguvu za kiume.
punguza kujichua.Kapime sukari yako na pressure yako.Shem naye ajaribu kukunyonya.
haa haa watakuja na wazima wapate tiba yako Dr.Ooooh......Hili tatizo......
Unaweza kuja clinic kwangu nikutibie.......?....
Dr Preta.......
Kila napokutana na mwananamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu....leo ndo nmetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabsa naomba ushauri wadau.
kama nmekuelewa vizuri mkisha zoeana na msichana huwa unakuwa vizuri tu.. yaan shida yako ni ile siku ya kwanza?Kila napokutana na mwananamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu....leo ndo nmetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabsa naomba ushauri wadau.