Miss ferrar
Senior Member
- Apr 7, 2016
- 199
- 171
Kave nawe ni mbuji...!?Tafuta mwanamke, hasa mkubwa kwako kiumri, piga one night stand, au yoyote tu ili mradi sio mpenzi, ufanye nae..jiamini tu wala hakuna tatizo.
Hahahahaha. Nimecheka vibaya mno! Dah, umeitengeneza siku yangu.Kave nawe ni mbuji...!?
Ni muda mrefu,,ila tatizo hili hunitokea mara nyingihukutokea mara zote,mara nyingi au mara chache,funguka kidogo.ila kwa uzoefu mdogo nilionao inaonekana unapiga sana selfie au ni mwoga kwa wadada,cha kufanya,acha kupiga selfie na pia usiwashe taa wakati wa kugegeda ili kupunguza hofu
Miaka 2 inatosha kuwa muda mrefuMiaka 25 unasema tatizo la muda mrefu wizi mtupu...hili ni fundisho kwa wengine wenye umri sawa na wako kwamba viungo vyenu vya uzazi bado havijakomaa kwa matumizi na mkae kwa adabu mkiota ndoto nyevu tu hadi wakati wa bwana ufike!