Ninapolala usiku nikishuka nakuta mikono yangu yote imekufa ganzi. Ni nini?

Ninapolala usiku nikishuka nakuta mikono yangu yote imekufa ganzi. Ni nini?

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,104
Ninapolala usiku nikishuka nakuta mikono yangu yote imekufa ganzi. Ni nini? Inaweza kuwa ni tatizo gani au upungufu wa nini mwilini?
 
Sijakuelewa... Hebu fafanua Mkuu.. Ukishuka wapi? au unamaanisha nini?
 
Tatizo lako ni kama la kwangu yaani ukishtuka usiku mikono inakuwa imekufa ganzi hasa ukilala kiubavu basi mkono wa upande huo huwa unakufa ganzi. Na mimi sijajua tatizo labda wadau watusaidie.
 
Ganzi hiyo inatokana na kuulalia mkono kwa muda mrefu,ivyo kuharibu mzunguko wa damu kwny mkono,ndo mana unapata ganzi. Hapo ni kujitahidi kulala vyema pasipo ulalia mkono.
 
Ganzi hiyo inatokana na kuulalia mkono kwa muda mrefu,ivyo kuharibu mzunguko wa damu kwny mkono,ndo mana unapata ganzi. Hapo ni kujitahidi kulala vyema pasipo ulalia mkono.

sawa mkuu ni kweli lakini nilifikiri labda kuna connection yoyote na matatizo ya neva maana huwa ni ganzi nzito sana.
 
Embu tueleze umri wako make kuna magonjwa mengine bwana are age dependent, occupation, ni muda gani tangu unajisikia ivo,...
Ukiamka ni mikono yote au ni mmoja tu at a a time, all the time and so on...
Yaweza kuwa ni neva za fahamu, shingoni au kwapani....
Pamoja na yote u better see a physician if the thing is troubling..
 
sawa mkuu ni kweli lakini nilifikiri labda kuna connection yoyote na matatizo ya neva maana huwa ni ganzi nzito sana.

Sasa mkuu mzunguko wa damu ukiathiriwa (kutokana na kuulalia mkono kwa muda mrefu) ni obvious nervous system pia itakua disrupted. Kumbuka blood,nerves and blood circulation all in one way or another depend and affect the nervous system.

Ila kama tatizo ni kubwa mkuu nenda hospitali ukawaone wataalamu.
 
Jitahidini kutokulalia mikono yenu, sidhani kama ni maradhi. Manake hata mimi hunitokea pale inapotokea nimelalia mikono au ninapokunja mkono nikiwa usingizini.
 
  • Accumulation of lactic acid due to anaerobic breakdown of glycogen from muscles to release enegrgy, causes muscle fatique???
  • Do you do simple exercises / aerobics???
Iwapo unahisi ni tatizo zaidi ni bora umuone daktari
 
Back
Top Bottom