Ganzi hiyo inatokana na kuulalia mkono kwa muda mrefu,ivyo kuharibu mzunguko wa damu kwny mkono,ndo mana unapata ganzi. Hapo ni kujitahidi kulala vyema pasipo ulalia mkono.
sawa mkuu ni kweli lakini nilifikiri labda kuna connection yoyote na matatizo ya neva maana huwa ni ganzi nzito sana.