Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Hiyo kesi mbona ushashindwa kabla hata ya kushtaki.Habari zetu wote?
Ni utaratibu upi wa kufuata ukitaka kumpeleka mtu mahakamani (kumshtaki)? Ni lazima uanzie kituo cha polisi au? Msaada tafadhali
Inategemea na aina ya kosa, kama ni Jinai anzia police, na kama ni madai aanzia mahakamani ,huko kote utapata muongozo!!Habari zetu wote?
Ni utaratibu upi wa kufuata ukitaka kumpeleka mtu mahakamani (kumshtaki)? Ni lazima uanzie kituo cha polisi au? Msaada tafadhali
Walau wewe umetoa mwanga!Inategemea na aina ya kosa, kama ni Jinai anzia police, na kama ni madai aanzia mahakamani ,huko kote utapata muongozo!!
Salama Mkuu,tuko pamoja!!Walau wewe umetoa mwanga!
Heshima yako mkuu!
Asante sana kwa elimu hiiInategemeana na kesi, mfano ni kesi ya jinai au ni kesi ya madai?
Kama ni kesi ya madai (civil case) hutakiwi kwenda polisi kwa sababu polisi hawahusiki na kesi za madai wala hawaruhusiwi kumkamata mtu kwa kosa la madai (Ingawa in practice wanafanya hivyo lakini sio sahihi). Badala yake nenda Mahakamani moja kwa moja ukafungue kesi au mpe kwanza mdaiwa demand notice (demand letter) alafu muda uliompa kwenye hiyo notice ukiisha hajatekeleza madai yako nenda Mahakamani ukafungue malalamiko au kesi yako.
Kama ni kosa la jinai mfano wizi n.k. anzia kuripoti kituo cha polisi baadae mtuhumiwa atapewa dhamana kama kosa linadhaminika, baadaye atafikishwa Mahakamani.
Kikubwa ujue aina ya kosa au aina ya madai
Kuna makosa au madai yanatakiwa kwenda Mahakama ya Mwanzo, mengine Mahakama ya Wilaya na mengine Mahakama Kuu.
Inategemea na kesi inahusu nini,kama ninai unaweza kwenda polisi au mahakamani lkn kama ni madai nenda mahakamaniHabari zetu wote?
Ni utaratibu upi wa kufuata ukitaka kumpeleka mtu mahakamani (kumshtaki)? Ni lazima uanzie kituo cha polisi au? Msaada tafadhali