Ninapoweza pata dawa za binadamu kwa ajiri ya duka la Dawa mhimu.

Ninapoweza pata dawa za binadamu kwa ajiri ya duka la Dawa mhimu.

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,466
Reaction score
4,916
Wadau Kama kichwa cha thread kinavyoeleza nipo mikoa ya pembeni kanda ya ziwa natafuta chimbo ninapoweza kuwa nanunua dawa tajwa kwa bei nafuu. Asanteni!
 
Nyie ndio wauza dawa mnaoua wagonjwa nyie.
Dawa mhimu ndio dawa gani?
Muwe mnaandika vizuri majina ya dawa.
 
Ingepedeza zaidi kama yupo anaeuza dawa hizo, afungue duka kwenye tovuti ya asiliatz.Ungeingia humo tu nakuzikuta.

Huko ndio tunapoelekea ulimwengu wakidigitali.
 
Back
Top Bottom