Cephas Saphiel
Member
- May 25, 2009
- 32
- 16
Duuuh! Mimi siyo mpokea order lakini, hakika atapata wakati Mgumu kukuelewa.Ukipitia Diamond pratunum mall nikuagizie viatu vya mchomeko vya kiume, au pratunum yote hiyo uniletee mashati ya kiume.
Ukifika niambie iki jijue kama bei imepanda au ike ninayoijua tupatane kwenye gharama za usumbufu
Shida gani hapo wakati kaagizwa viatu na mashati tu?Duuuh! Mimi siyo mpokea order lakini, hakika atapata wakati Mgumu kukuelewa.
Niletee umesema unatakaaHabari wana jamvi? Ninasafari ya kwenda Thailand hivi karibuni. Ninaomba order ya mzigo wowote unaohitaji kutoka kule hasa nguo. Nitakuja na mzigo na kukuuzia kwa bei poa ya jumla. Order plz!!!
Ukipitia Diamond pratunum mall nikuagizie viatu vya mchomeko vya kiume, au pratunum yote hiyo uniletee mashati ya kiume.
Ukifika niambie ili nijue kama bei imepanda au ile ninayoijua tupatane kwenye gharama za usumbufu
Niletee umesema unatakaa
Kama unaenda Bangkok basi Pratunum district ni maarufu kuliko eneo lolote lile, kama ushafika Centara Grand & Bangkok Convention center basi Diamond Pratunum mall ni close kabisa na ndio maarufu kwa ajili fashion zote.Hyo Diamond Platinum mall ipo wapi mkuu,,,
Niletee umesema unatakaa
Sembe or dona? Au kama vipi nikuunganishe kwa makonda akufanyie mishe,,,,Uniletee unga mkuu, huku umekuwa ghali sana.
Tatizo huku bei chafu.Sembe or dona? Au kama vipi nikuunganishe kwa makonda akufanyie mishe,,,,
Ndo natoa oda niletewe madawaSijaelewa hii
Usisahau kupitia Pattaya, angalizo uende na kiasi kitakacho kutosha