Ninashindwa kufikia menu ya M-Pesa

Ninashindwa kufikia menu ya M-Pesa

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu wanajopo,

Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka.

Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki kitu sikijui. Tazama kiambatisho.

Ninatumia android

Ninaomba shule hapa.

inbound5896947738091559696.jpg
 
Alternative download app ya mpesa playstore wakati unaendelea kutafuta suluhisho
 
Back
Top Bottom