pole asa c ushajua cha kufanya au ushaur upi tena yoriyori...em jarib iyo af huku madesa mengine yakijidownlod..utoe majib
hamna haja ya kumweleza chochote,we jitongozeshe tu. atakupiga saundi mwenyewe.
MAPROSOO.
Mwambie tu.
jina lake linaanza na herufi T?Habari ya weekend?
Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri.
Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale anaponiita dada kila tunapokutana. Juzi alinialika kwenye sherehe ya birthday yake na rafiki zake walijua huenda mie ndio mwandani wake kwani hakuwa na girlfriend yoyote. Nilipojua yuko single nilipata faraja na moyo wa kuamini kwamba huenda one day atakuwa wangu.
Ninaomba msaada wenu wa mawazo kwamba nifanye nini jaman ili awe mikononi mwangu one day? Nimekuwa na mawazo sana kuhusu huyu kijana.
Mawazo yenu yanahitajika sana wakati huu.
Asanteni
jina lake linaanza na herufi T?
Na ukichelewa utashaaa, wengine watamnyakua!
Kumwambia naona ugumu sana, aibu ya kike imenijaa mwaya!labda nimwambie nikiwa nimelewa japo hata pombe sinywi
Jamani wewe unanipa pressure..., sasa jamaa nikimkaribisha hom analeta mapouz! jaman mie nitakufa na langu moyoni
mh! mtoto wa kike hujui kujitongozesha!!! mcheki DATA hapa chini kamaliza yote.Maprosoo nijitongozeshe kivipi? waweza kunielezea kinagaubaga.
Wanaume Marijali huelewa punde binti anavyo shoboka juu yake.. Ushauri..
1. Mpige mi Body Language ya hatari.. Kama ni Dume la ukweli utashangaa tu ucku ana ku wish G9t.. Aspofanya hvyo then mtoto cio Ridhk..
2. Tegua (harib) kitanda unacholala then mwite geto kwako aje kukikaza.. Then u know what 2 do.. Akipona na hapo jua Sio Rijali.