Ninashindwa kumweleza

Did the word seduction mean anything to you?

Seduction=The silent scream of i love uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Try that, and pliz do it the feminine way and pray.

Sooner or later, utaukalia...
 

Kama huwezi kumwambia basi nipe namba yake nikusaidie kumwambia
 
pole sana dada hata mimi iliwahi kunitokea hivo, njia niliyofanya ni hii hebu na wew jaribu kama utafanikiwa. Kwanza onesha kuwa unajali. Asubihi umtext am mpigie kumjulia hali "Note: ucandike sms za kimapenzi saaaana, andika kawaida tu kama rafiki" mchana mtakie mlo mwema. ucku wakat iwa kulala mpigie cm zungumza naye kwa kirefu mpe pole na kazi " Note: pia uczungumze masuala ya mapenzi saaana" uliza cku yake imekwendaje na vitu kama hivo. sasa hapo ndo utaona je anarespond vipi, yupo interested na text na calls zako? kama na yeye yupo interested na wewe atakuwa anarespond vizuri. Mpatie zawadi za kawaida km saa ya mkononi, shati "NOte: usimpatie vitu kama boxer na zawadi vinavyoashiria mapenzi. Hapo pia angalia respond yake katika zawadi zako. Muombe kutoka out either w-ends ama nyakati za jioni " Zungumza naye masuala ya maisha zaidi kuliko mapenzi" Subiri yeye ndio aanzishe issue za mapenzi! Mpaka hapo utajua kama na yeye anakupenda la cvyo atakutumia then atakuacha make itaonekana unajipendekeza. Usiwe rahisi kutoa tunda! KILA LA HERI PIA UTUPE FEEDBACK...........
 
mualike mtoke out huko huko utamueleza kama si kwa maneno kwa ishara na vitendo atajuwa tu kama ni kijana alietulia, k'ha! kisa cha kufa na tai shingoni ni nini? ukichelewa atawahiwa uje ufe kwa stress, usijali yale ya miaka 47 eti mwanamke mpaka aanzwe yeye saa ngapi, kwanza na madomo mazito pia yapo iyo dada itafutika automatically , usikute na yeye anakumezea mate anajibaraguza tu domo zege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…