Ninashuhudia Kiroho kua, Mamlaka iloingia madarakani March 17 2021, sio Mamlaka Kutoka Mbinguni kwa Mungu, ni Mamlaka ilochomekwa na Watu

Toka 2015 mpaka sasa mambo hayajawahi kuwa sawa.Sema huyu wa sasa ni mzigo na mtu mwenye maagano makubwa na giza kupita mtangulizi wake.Mwisho wake nae hautakuwa mzuri.
 
Reactions: Lax
KWamba ccm imeanza kujichomeka madarakani 2021?
 
Taifa límejaa Hudhuni sana ,vilio Kila Kona, Kuanzia kutekwa, kupotezwa, Kuuliwa, mpaka Hela mfukon kwa wéngi imepotea !!!.

Vita dhidi ya Kanisa imepamba moto, Viongozi kufa ni Sherehe kwa Wananchi .

Uonevu kuanzia Mahakama mpaka POLISI !!.
nonsense.

peleka ushirikina na ramli zako useless kwa mapepo wenzako huko huko gentleman 🐒
 
Taifa límejaa Hudhuni sana ,
Mamlaka zote hutoka kwa Mungu, ila baada ya kuwekwa na Mungu, baadhi ya Mamlaka humsaliti Mungu na kumtumikia shetani, ikiwemo kuwafanyia watu wa Mungu ushetani, ila mimi nilitimiza wajibu wangu kikamilifu kwa kutoa ushauri
Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua Mashetani

Badala ya kumtumikia Mungu wa mbinguni wao wanamtumikia mungu wa dunia hii
Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…