Ninashukuru hivi vimenipita salama

Hapo ndio mke unakuja naye nyumbani kumtambulisha kwa wazee...
 
Nahisi kama tajiri wa xiaomi amekamilisha tambiko lake leo kwa Mizimu .Maana naona hadi simu yangu kama imepatwa na mgao huo .Duu xiaomi balaa
 
Hahaha kama vile amevaa kata k... ila mimi nimeipenda hiyo style iko Bomba aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…