Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi

Tuko kwenye Auto Pilot Mode.
 
Anafungua nchi🥵🥵🥵
 
Damu ya MTU asiyenahatia na aliyezushiwa uongo kabla ya kifo chake na baada ya kifo chake na matusi mengi ya kila aina kuelekezwa kwake, kuanzia kwa waliokuwa karibu nae ktk kuhudumia Nchi hii. kamwe haitaiacha Nchi yetu salama. Tukae kwakusubiri ni mengi yanakuja.
Tuzidi kujiombea heri!
 
Wanajipimia kwa urefu wa kamba zao
 
Kwani na mataga wa mbogamboga nao wamepandishiwa bei au CHADEMA peke yao?
 
Tuna chuma cha kutengeneza hizo nondo na misumari, tuna Bauxite kwaajili ya ya hiyo aluminium. Vyote ulivyotaja tunauwezo wa kuvitengeneza kwa wingi. Kilichopo ni wanasiasa/viongozi wasio na nia ya kufanya hayo, hasa sababu hakuna ulaji.
 
Hii ni mapito tuu Miradi wa Rais Samia ya kujenga miundo mbinu ya vyumba ya madarasa 15,000 ,huduma za kijamii nk vimepaisha mahitaji
Rais amefungua fursa ambazo zilikuwa zimedumaa
 
Hii nchi tutaenda tukiwa tumechoka sana

bidhaa zote zimepanda mara dufu hivi majuzu nimepita dukani kununua godoro ambalo nilinunua mwaka 2020 ..320,000 kama hiyo hiyo nimekuta linauzwa 460,000 no bargaining

Asee niliumia sana hela ngumu kuipata na ukiipata haifanyi chochote
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…