Ninasoma BSc in Chemistry ila hii course inanikatisha tamaa kuhusu ajira kwani zipo chache sana

Ninasoma BSc in Chemistry ila hii course inanikatisha tamaa kuhusu ajira kwani zipo chache sana

seminarian

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
24
Reaction score
26
Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu
 
Anza kuuza bite apo chuoni, jifunze pikipiki, fanya ishu yoyote iliyopo mbele Yako usiogope macho ya mtu Wala kufeli au kudisco
Kama uko dar nenda karume jifunze kupoint mitumba n.k ilimradi usikae bure
 
Acha uwoga, yapo mambo mengi sana ya Kufanya na Chemistry...

Mengi mnoo.... Ila unahitaj uwe mpambanaji.

1. Atomic Commission
2.Sales in Pharma
3. TBS
4. industrial chemistry viwandani
5.Ualim

We pambana umalize vizuri
 
Back
Top Bottom