Ninasoma HGE, hivi kuna uwezekano nikasoma computer science chuo kikuu?

Ninasoma HGE, hivi kuna uwezekano nikasoma computer science chuo kikuu?

lucas2

New Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari wana jamii me ninasoma combination ya HGE na o level nilisoma science nikapata
Phyiscs D
Chemistry D
Maths C
Arts ndo nilifaulu ila ndoto zangu ni kusoma computer science je KUNAUEZEKANO WA MIMI KUISOMA
AU NIFANYAJE ILI NITIMIZE NDOTO ZANGU
AHSANTEN SANA ndg
 
Huwezi kusoma computer science.Kusoma hiyo kozi ni lazima usome Advanced mathematics na Physics ya A level.
 
Uwezekano ulikuepo endapo ungekua na ufaulu wa olevel physics, chemistry, na math B na kuendelea, au ungesoma EGM afu ukafaulu adv math, ILa inategemeana na vyuo......Otherwise uwez chaguliwa
 
Nenda na vyeti vyake vya O'Level na A'Level Open University - watakueleza jinsi ya kufanya.
 
Ukienda vyuo binafsi ni raisi kisoma unachotaka. Ila vyou vya serikali sijui kama itakuwa raisi kukuchukua
 
Unaweza soma ndio maana na mimi nilisoma HGE
 
Usiogope hii ni bongo kila kitu kinawezekana, kama twiga kupanda ndege, contener bandalini kupotea kama kibiriti, ije kuwa wew kusoma computer scienc..
 
Dreson naomba tuwasiliane kaka unipe muongozo na utaratibu
 
Back
Top Bottom