Ninasomea degree ya automobile engineering (uhandisi wa magari)

Kama unataka kufanya field kwa kuwa unasomea uahandisi wa magari ni vyema zaidi ukajikita katika gereji zenye KUNYOOSHA na kuunda mabodi ya magari ...hii ITAKUSAIDIA zaidi nenda km AUTO MAX ,OMMY PAINTER, TTR ,N.K
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…