Ninata kazi

Alfonce Leonard

New Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
4
Reaction score
0
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
 
kijana maliza kwanza ndipo uwaze kazi!kunakshikwa mwaka wa mwisho!ajira wizara ya kilimo zipo za kumwaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…