Ninatafita boxer shorts kwa mwanangu

Hizo Pringle? Sawa mkuu
Ni hizo white na blue kama nimemuelewa Ni nzuri pia hazitombana Maana si vizuri sana kuzibana hizo sehemu pia huwa Ni Pure Cotton kama upo mazingira ya Dar ni nzuri zaidi kwa joto.
 
Kasema yuko Dar?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…