Ninatafut mke!!!!!!!!

hargeisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
549
Reaction score
42
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason
 
Mods wameenda wapi leo? Hii ina jukwaa lake...
 
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason

Sifa za unaemtaka ushasema je wewe unahisi sio lazima ajue sifa ulizonazo?
 
nasikitika kwamba muhusika si great thinker na yupo humu ....
 
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason
hahaaaaaaaaaaaaa sasa hujui ww hao ndio wazur kinoma yani
 
Sasa mkuu unatafuta mke huogopi kupigwa na mumewe?!
 
Kaka mauno ya kitanga yanakuacha hoi? Haya all the best ujaliwe pata mke mkeo[QUOTE:
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason[/QUOTE]
 
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila tu sio freemason

Kwaani freemason ni dini?!
 
Kitendo cha kuwa katika jumuia hiyo tu inamuondolea sifa kwangu
vp na unahudhuria katika hall yao pale ubalozi wa zb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…