Ninatafuta ajira ya muda arusha

PHILIPP DONIE

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
61
Reaction score
15
Habari wana JF wenzangu,
MIMI nimemaliza kidato cha sita (mchepuo wa PGM) mwaka huu na kufaulu vizuri. ninaomba kwa yeyote aliye na kazi kama kufundisha, au kazi za kutumia nguvu anisaidie. Miaka 21, nina ujuzi wa computer, nimepitia JKT hivyo nimejengewa, nidhamu na uhodari katika kazi. Pia nina uwezo wa kujifunza kwa haraka na kuwa creative.
MAWASILIANO:0755 56 63 34
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…