Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Umeshaanza au hapo ni unapiga Hesabu kwenye mmakaratasi? Risk ya hiyo Biashara ni zipi? Na vipi usalama wa pesa za mwekezaji?Wakuu salama.
Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml.
Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa
Eneo: ni Kahama na Mwanza
Kwa sasa biashara ina run under low capital, demand ni Kubwa kuliko supply yetu.
Additionally ikiongezeka hiyo 5-10Ml kwenye biashara Profit kwa siku inaweza kufika hadi 100,000- 200,000.
Karibu ambaye yupo interested PM
Kwann nifanye kaz na nyie wakati naweza nikaweka mtaji na nikawa mshindani wako?Wakuu salama.
Natafuta business partner/Investor awe na capital at least 5ml hadi 10ml.
Aina ya biashara: ni biashara ya butchery, mayai na maziwa
Eneo: ni Kahama na Mwanza
Kwa sasa biashara ina run under low capital, demand ni Kubwa kuliko supply yetu.
Additionally ikiongezeka hiyo 5-10Ml kwenye biashara Profit kwa siku inaweza kufika hadi 100,000- 200,000.
Karibu ambaye yupo interested PM
KhaswaaKazi ni kipimo cha utu
Nipo kwenye biashara tayari.Umeshaanza au hapo ni unapiga Hesabu kwenye mmakaratasi? Risk ya hiyo Biashara ni zipi? Na vipi usalama wa pesa za mwekezaji?